Habari za mapambano ndugu zangu wana mabadiliko na wanao amini katika mabadiliko..
Kwa wana vyuo wote kutoka mikoa mbalimbali nchini... Napenda kuwapa taarifa kuwa, kwa wale waliojiandikisha wakiwa "VYUONI"
na wapo tayari kurudi "VYUONI" kwao kwaajili ya zoezi la kupiga "KURA"
naomba wafike ofisi za wilaya ya CHADEMA katika mkoa uliopo..
Na muorodheshe majina yenu pamoja na namba za simu ili muwezeshwe kufika na kurudi eneo ulilojiandikishia.
Na muorodheshe majina yenu pamoja na namba za simu ili muwezeshwe kufika na kurudi eneo ulilojiandikishia.
KWA PAMOJA TUNAWEZA KUFANYA
MABADILIKO..
""FIKA BILA KUKOSA MAAMUZI YAKO NA KURA YAKO NDIYO MUSTAKABALI WA MAENDELEO YA TAIFA LETU""
««Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hizi za simu...
0712-937527
0714-779051
KUTOKA KWA CORDINATOR MKOA WA DODOMA *LUCKSON KWEKA*
NA
*MNGODO DAVID*
##MABADILIKO NI SASA 2015##
««Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hizi za simu...
0712-937527
0714-779051
KUTOKA KWA CORDINATOR MKOA WA DODOMA *LUCKSON KWEKA*
NA
*MNGODO DAVID*
##MABADILIKO NI SASA 2015##
0 comments :
Post a Comment