"Thomas Sankara once said “You cannot carry out fundamental change without a certain amount
of madness”. Uwendawazimu 1) weka mikataba yote ya Rasilimali za Nchi
wazi - PSAs and MDAs 2) Futa posho za makalio katika mfumo mzima wa
Serikali kama Mpango wa Maendeleo unavyotaka 3) futa business class air
tickets Kwa watendaji wa Serikali na wanasiasa isipokuwa Rais, Makamu wa
Rais, Waziri Mkuu 4) futa matumizi ya mashangingi ( BoT wameonyesha
mfano kwenye hili ) 5 futa uagizaji wa sukari kutoka Nje na anzisha
miradi ya miwa tuuze sukari Nje 6 weka wazi taarifa ya Serikali kuhusu
utoroshaji wa fedha na fungua mashtaka Kwa wahusika mara moja 7 wape
takukuru mamlaka ya kukamata na kushtaki na kila mwenye Mali athibitishe
yeye kaipataje ( reverse burden of proof ) 8 Mali na Madeni ya Viongozi
yawe wazi Kwa umma na wananchi waruhusiwe kuhoji 9 ruhusu mshindi wa
uchaguzi Zanzibar atangazwe na ufanye naye kazi 10 acha mchakato wa
Katiba Kwa kuanzia alipoishia Warioba, achana na Katiba Pendekezwa" BY Zitto Kabwe
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment