
Actress maarufu Swahiliwood Aunt Ezekiel amechimbwa na kitu chenye ncha
kali kinachodaiwa kuwa chupa katika mkono wake wa kushoto. Tukio hilo
lilitokea juzi katika ukumbi wa Club Billicanas wakati Wema Sepetu
akitambulisha wasanii wake wapya wa Bongofleva.
Habari ambazo bado sio rasmi
ni kuwa huenda muigizaji huyo alikumbwa na tukio hilo hatari kutokana na
issue za kimapenzi yaani kugombea mwanaume siku za nyuma au sasa.
Tutakujuza zaidi kinachoendelea. Ugua pole Aunt......
0 comments :
Post a Comment